PDA

View Full Version : Kiswahili?Ian Isaro
02-14-2011, 10:29 AM
Kuna watu ambao wanajua Kiswahili hapa? Ninadhani hapana, lakini labda, kwa sababu Kenya ina watu ambao wanatumia intaneti zaidi kuliko mataifa ya Afrika. Hakuna shida, ni swali tu, na ninatumaini kuandika/kuzungumza Kiingereza tu.

Sandema
03-21-2011, 08:41 PM
Mimi ni Mkenya Mjaluo. Najua kile tunaita street Swahili ambao Watanzania wana shida nayo. Najua hata hapa nime fanaya kosa kadhaa. It is good to see you here. Niko Marekani naandika kitabu ( what do you call a novel in Swahili-Swahili is made so hard we give up before we start). Are you writing a Swahili novel?

Ian Isaro
03-22-2011, 10:48 AM
Nimetembelea Kenya mara chache. Kiswahili cha Kenya ni tofauti ndogo, lakini hakuna shida. Ninafurahi kukuona.


what do you call a novel in Swahili-Swahili is made so hard we give up before we start
Ni "riwaya" lakini hata katika Tanzania watu wengi hawajui neno hili, kwa hiyo "kitabu" ni nzuri.


Are you writing a Swahili novel?
My education was in English, so that is what I am used to writing. It seems like not many people are interested in reading novels here, so I am looking at North American markets.

Cece N
08-24-2011, 09:39 PM
Mimi ni mkenya mkamba. Street swahili eh? sheng? Mimi pia ni hiyo hiyo tu. I'm in Vienna, write in english 'cause german grammar is hard, and my clean swahili wont do. Sandema... I think a novel is called noveli hahah.. not seriously I need kamusi.

Ian Isaro
09-14-2011, 03:43 PM
Nachelewa sana... internet hapa sio nzuri, pia nilisahau thread hii.

Karibu AWWC. I only know a few words of German (Spanish is the closest I have to another language, and it's pretty rusty).